Makapuku Forum

Da hapo kwa Bob aisee umenikuna
 
Eeka maaa
 
3/Elvis Presley
Alizaliwa mwaka 1935 na kufariki dunia mwaka 1977 akiwa bado damu inamchemka
Alitamba na vibao kibao kama vile Jailhouse Rock na Can't Help Falling In Love bila kusahau Hound Dog na Love Me Tender
Binti yake aitwaye Lisa Presley alikuja kuwa usingizi wa Wacko Jacko na kuwa miongoni mwa couple za kifahari na maarufu ya muda wote japo walishindwana na kumwagana kama gari la taka linavyofanya likifika dampo
.....
 
Kumbe wazungu wafumbafu sana yaani but sijui ni kwanini wakija kwetu tunawashobokea tu
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…