Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
AsanteNakupenda
AsanteNakupenda
Kwani nimebishaa![]()
![]()
kweli ujue
AiseeHaulalagi tena na Baba D?
Ahahahhh yaan huyo mumeoAisee
Asante kaka, Nasi twakupenda piaSakayo![]()
Aaah mama mkubwa pensel zangu hawa dada shunie ananinyang'anya naomba leo tu kesho sitanyang'anywa tena nimejifunza ngimi leo kaka Lee kanifundishaKila siku unapoteza penseli..nenda hivyo hivyo kaandikie vidole
Nami Nakupenda ujue...me nakupenda tu ujue hivyo hivyo
![]()
![]()
Shunie kaamua kuwa mtumishiVipi tena
Wale wa klabu WanaloooKazi kwao wasichana wana cha kujifunza
Mi nashukuru jana sikumuonaanatisha yule sijalala jana sijui alifikilia nini kumuweka
Kachukue sh 50 juu ya friji ukanunueAaah mama mkubwa pensel zangu hawa dada shunie ananinyang'anya naomba leo tu kesho sitanyang'anywa tena nimejifunza ngimi leo kaka Lee kanifundisha
Hii tabia ya kulala mwenyewe utaacha lini? Halafu mkono mmoja kati.Vipii fakalava jamaan
Kwanza Malebo You tube haimtambuiMmmmh
Shukrani mtawa wetu ubarikiweKUWA MWANGALIFU NA MANENO YAKO UTAMKAYO.....
MATHAYO 12
37. Kwa kuwa kwa maneno yako utahesabiwa haki, na kwa maneno yako utahukumiwa.
MITHALI 6
2.Basi umetegwa kwa maneno ya kinywa chako, Umekamatwa kwa maneno ya kinywa chako.
NAWATAKIA MCHANA MWEMA MBARIKIWE![]()

Asante mama mkubwa nikwambie kitu...Kachukue sh 50 juu ya friji ukanunue