Makapuku Forum

1WATHESALONIKE 5

17.Ombeni bila kukoma


Tunakumbushwa kuomba.

Tusiache kuomba.

Omba kazini,Nyumbani,
Safarini,Shambani,kwenye biashara,hospitali,Ukiwa na shida,Ukiwa na raha popote unapokuwa.

Kuna nguvu katika maombi.

Omba mpaka unachokiombea kitokee wala usikate tamaa.
 
Amina...

Hata Bwana Yesu, alishaagiza "kesheni mkiomba maana hamjui siku wala saa ambapo mwana wa adamu atarudi"
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…