Makapuku Forum

Wakuu habari zenu

UTAFITI HEWA

Usikubari kuongozwa na mwili badala ya akili bali akili ndo iuongoze mwili

Wote wanaoongozwa na mwili hushindwa katika kutimiza wanacho kifanya

Anae ongozwa na akili hufanikiwa zaidi na zaidi
Huu utafiti wa leo ni hewa kweli. Mi nakubaliana na wale wanaoongozwa na mwili sababu najua akili tulizonazo ni za kupewa na jamii kitu ambacho kwangu sio sawa.
Mwili wako ndio rafiki yako kwa kweli na siku ukiamua kuutii japo kwa 80% basi maisha yako yatabadilika hadi utashangaa.

Kuna sababu kuwa kwanini tunazuiwa kuitii miili yetu. Sababu hizo ni pamoja na za kiimani na kiutawala. They know exactly kitakachotokea pale tutakapokuwa tunaitii miili yetu.

Rafiki yako wa ukweli hapa duniani ni mwili wako tu, haujawahi kukuangusha na hautakuja kukuangusha no matter what
 
Baadae uagize Balimi mbili nitakuja kulipia
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…