Makapuku Forum

Makapuku Forum

Tuna ushamba fulani hivi wa kutoizunguka dunia sababu ya umaskini hivyo kila anapokuja staa mkubwa(kumbuka yaliyomkuta Kaka) inakuwa ishu
Ila ningekuwa na uwezo wa kwenda Ulaya kulekule kuwaona isingekuwa huu ubwege unaendelea

Najua hata Ulaya haya mambo kutokea
........
Ulaya mara nyingi ukitaka kupiga nao picha, unawasubiri tu wakati wanashuka kwenye bus kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, hapo huwa wako free sana
 
Ulaya mara nyingi ukitaka kupiga nao picha, unawasubiri tu wakati wanashuka kwenye bus kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo, hapo huwa wako free sana
Sasa ndo hivyo fursa ya kwenda huko Ulaya wanamudu wabongo wachache km akina Edo Kumwembe
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
 
Nitonye make leo nilikuwa bize
Hata kuandika hivi
IMG-20170713-WA0045.jpg
 
Back
Top Bottom