Tumosa
JF-Expert Member
- Jul 21, 2016
- 16,527
- 52,623
Naona umeweza hongeralile lilikuwa swali la jaza nafasi iliyo achwa wazi

Naona umeweza hongeralile lilikuwa swali la jaza nafasi iliyo achwa wazi

Vyote sawa tuMi mndali jirani yake mnyaki
sasa ili swali lako subiri nilihifadhi siku nikikanya pale UK nitawatafuta wahusika watupe majibu mzuri zaidiKwa hiyo wa dar wote ni samaki??
Sawa ndgu ynguKesho labda...
.....
Kuno tununu lwo rumu rukaliTununu kaka utwa ku idodomya
Dodoma ikifika saa mbili lazima uwe kitandani, maana hakuna sehemu ya kwenda na watu hamnaYaani shemeji hapa dodoma nipo kama sipo maana mda ninao pata wa kuzunguka ndo raia wanaenda kulala ila mungu akilajalia jumamosi narudi kwetu ileje
Nan huyoDuh Wanyaki tumejaa humu
Mwingine yupo hapo juu
![]()
![]()
![]()
.....
Dogo amefanya kwenda kumkumbatia rooney?Mwishoni nimeandika
Ila hapo Bongo tunasumbuliwa na ushamba zaidi
.....
akhsanteh!Naona umeweza hongera![]()
![]()
![]()
Ila kumechangamka kuliko kwa dadangu shunie tangaDodoma ikifika saa mbili lazima uwe kitandani, maana hakuna sehemu ya kwenda na watu hamna
Pamoja kikolo gwa kyajaVyote sawa tu
Green City !!
.....
Ndagha fijoKuno tununu lwo rumu rukali
Nitonye make leo nilikuwa bize
Kama ni hivo basi wa sinza ni perege
TumosaNan huyo
Ena ukyala gwajage tubhakete na abhajiraniNdagha fijo
Aiseee kwani ww haupo dar?Kama ni hivo basi wa sinza ni perege
OoohoooTumosa
Mdau nimeeleza mwanzo kwamba "ushamba" unaotusumbua ni ule kutoizungukazunguka dunia na kujichanganya mfano tuna mchezaji mmoja tu Ulaya(najua kuna wabongo kibao tu ni watu wa safari za majuu) ila wabongo tupo nyuma sanaDogo amefanya kwenda kumkumbatia rooney?
Kwanini unachukulia ni ushamba?
I am just looking this from an inclined angle..? Why bongo ni ushamba?