Makapuku Forum

Leo katika Historia

1934 - Wole Soyinka anazaliwa.
Ni mwandishi mashuhuri wa fasihi barani Afrika anayetokea nchini Nigeria.

Mmoja kati ya watunzi/waandika vitabu wa muda wote barani Afrika kama wewe Ni mvivu kusoma maandishi basi huwezi kuelewa
Kutokana na kalamu yake kuwa ya moto serikali ya Nigeria ikawa inamwinda kama digidigi hivyo kukimbilia uhamishoni Akawa Mhadhiri kwenye chuo kikuu huko Marekani na kuendelea kuandika vitabu kwa Uhuru zaidi
Wakati wa Uchaguzi wa Marekani akatamka hadharani Kichaa na mbaguzi Donald Trump akishinda atasepa maana hawezi kuongozwa na huyo shizi...
Na kweli akasepa na kurudi nyumbani
Ni mtu wa msimamo !!!
......
 
Yani wameniudhi sana
Hizi nafasi sio za kufanyia makosa kabisa
 
G G M U
 
Huyu mwana fasihi ni nguli. Kazi zake zitabakia kwenye historia kwa karne
Pamoja na Chinua Achebe na Ngungi wa Thiong'o
 
Huyu mwana fasihi ni nguli. Kazi zake zitabakia kwenye historia kwa karne
Pamoja na Chinua Achebe na Ngungi wa Thiong'o
A Grain Of Wheat,The River Between,Betrayal In The City,Chike And The River,I'll Mary When I Want .....Kwa waliosoma sayansi A level fasihi imewapita kushoto japo mimi sikusoma HGL,HKL wala HGK Ila vitabu nilisoma Kwa kuibia kwa washikaji pia Library
...
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…