Makapuku Forum

Ya kichina haya
 
Kwangu hiyo mpya mi ninavyoelewa operation hufanyika baada ya jitihada za kujifungua kawaida kushindikana
 
4/Kenya Majirani zetu hawa ni watu wa majivuno ila ni wachakarikaji na maisha
Kila kitu chetu kizuri wanadai ni chao ila UKIMWI kweli ni wa kwao !!
Wakenya wapo takribani 48,000,000 na mwaka huu walitegemea kufanya uchaguzi Mkuu
Ukimwi kwao ni janga pia japo wapo vizuri kiuchumi
Wakenya wenye ngoma wapo 1,500,000
........
 
Africa mashariki kibokoo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…