Makapuku Forum

Asante Obe
 
Anko vipi, naona wikend ulishikwa ukashikana yaani kama na hivi niliona ulipokuwa na ulichokuwa nacho sikushangaa mjusi kuwa juu ya gogo.

Nimefurahi kukuona humu tena
Binamu heshima kwako kwanza....mengine kaushia binamu mbona dada alikulea kwa hekima na busara

Binamu umesahau mara ya kwanza nakuleta mjini japo ilikuwa lazima tufike kwa mjumbe kuripotii ....

Nasikia leo umepiga mbizi kwenda kigambonii
...
 

Aaah , mjomba enzi zile unanileta mjini si unakumbuka nilivyokuwa nawatambia wanafomufoo wenzangu kuwa mimi nikimaliza shule tu naenda Dar kwa anko. Kweli bhana ukanileta mjini, tatizo likawa malezi ya dadaako na wewe no tofauti, nikajikuta nafuata malezi yako.

Yule mjumbe yule mwanae unawasiliana naye bado maana ilikuwa excuse yako ya kuwa unaripoti pale everytaimu


Afu sijapiga mbizi kigamboni bhana, nimepita hii njia ya tiper bahari imekupwa
 
Hii nyimbo imenikumbusha enzi za usichana wangu Maisha yanaenda kasi sana nmezeeka sasa
 
Umenikumbusha mbaliii ....unakumbuka mjumbe alikuuliza nini?? Na wewe ulimjibu nini ...
ila wewe utundu wa katabiaa aka ulianza mwanzoni make kisa cha mtoto wa mjumbe kuniletea maji ukamtuma maziwa ...mjumbe ngoja agomeshee kusaini ili utambuliwe
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…