Dah...7/Agricultural Bank of China Ltd
Wachina tena !!!
Hawa jamaa kwenye masuala ya kibenki washajiimarisha tukizubar tu tutakuta tunajazana kwenye benki zao kuweka pesa
Baada ya kuwa na benki kubwa ya viwanda na biashara(ICBC) sasa tupo kwenye benki ya Wakulima(kilimo)
Wakati bongo ngobjera za kilimo nyingi bila vitebdo matokeo yake wakulima hawana pembejeo wenzetu wao ni vitendo tu(saying loud doing nothing).....wenzetu ni doing everything talking nothing
Kwa mwaka benki hii ya kilimo mapato yake hufikia USD 68 billion
Imeajiri watu 479,000
.
Wakulima wa bongo msione wivu.... endeleeni kuozewa na nafikiri yenu
Hamjalazimishwa kulima !!!
........
oooh yes, I love you very much JiminaDo you love me??
Kule kugumu maana hata Toyota haishobokewiMchina keshatawala Afrika
Akina Scania wanebaki huko Ulaya na nchi zilizoendelea
.....
Nitakwambia taratibu Jimena, na sitachelewa. Kwa sasa ni kihoro cha kusikia neno jema toka kwa nimpendaye[emoji8] , ndipo akili itatulia nikueleze taratiiibuNiambie sasa....
Lifanyie kazi sasaHilo nalo neno ujue
[emoji85] [emoji85] [emoji85] [emoji85]Woyooooo
Oh yes I love this kind of lyrics....
...hanging in here, trying to stay away from trouble, you know. Got to feed 3 bellies of mine, oh yeah paying the bills. Did the weekend treat you good!
Haya maneno ni mazito sana![emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8] [emoji8]
Jimena, mimi nawe tumepitia vipindi vinavyofanana, wale watu wametuacha tukiwa bado tuna wahitaji, najua unahitaji mtu sahihi,
Najua unataka furaha inayozidi
Unahitaji wa kukuita lile jina
Nafsi yako yahitaji changamko
Moyo unatamani kusikia neno tamu.
Wakuyafanya haya ni mimi,
Ninaweza Jimena
Unaweza kunifanya mwenye furaha
Upendo hufunika mapungufu hivyo fujo zako sitafunikwa na mapenzi wala haxitanikwaza
Nakupenda eti Jimena[emoji257]
Nashindwa hata niandikeje
Mikono haina nguvu kwa shauku iliyozidi Jimena.
Malizia Jimena wangu.
Mimi nawe tumeona mengi na yametufunza, kilichobaki ni kushikana na KUPENDANA
I LOVE YOU JIMENA[emoji173] [emoji173] [emoji173]
Wanaume wameumbiwa matesoAcha kumtesa Kakangu
Kila la heriWakuu ..
Baadaye kidogo
Hapana agizia tu kutoka mbele moja kwa moja hapa bongo na ifikie mikononi mwangu tuUmepata Jimena, tutacheki Pale Supna mtaa wa Samora.
Au wataka kwenda saba saba si wajua inaisha tr 15/7?
Not yetYeah
Crazy to have you as a sister in_law
Nakupenda sana Jimena,Haya maneno ni mazito sana!
Utakuwa sio muungwana ikiwa sitasema asante kwa kunipenda huku.
Lakini sasa we unanipenda kweli au unadhani nahitaji mtu wa kunipa hayo maneno matamu uliyosema??
Usihofu ni mtandao wa kutosha, ni kitendo cha kutamka na kitu kinarushwa ndani ya siku tatu kimetua bongoHapana agizia tu kutoka mbele moja kwa moja hapa bongo na ifikie mikononi mwangu tu
Ooh sawa. I will think about itoooh yes, I love you very much Jimina
Mmmmh....... So soon??Nitakwambia taratibu Jimena, na sitachelewa. Kwa sasa ni kihoro cha kusikia neno jema toka kwa nimpendaye[emoji8] , ndipo akili itatulia nikueleze taratiiibu
Longing to hear from you JimenaOoh sawa. I will think about it
Hawa jamaa [emoji119] [emoji119] [emoji119]5/PetroChina Company Limited
Ilianzishwa mwaka 1999
Hii ni kampuni kubwa inayomilikiwa na Wachina
Inajishughulisha na biashara ya mafuta na gas yaani ni kama akina Lake Oil,QRXY na Oilcom
Kuna adiyejua utajiri mkubwa uliopo kwenye biashara ya mafuta duniani? Waarabu ndo rasilimali yao kuu
PetroChina Kwa mwaka hukusanya USD 373 billion
Imeajiri watu takribani 550,000
........