BabeTunamsalimia pia
Yamekuwa hayooo tenaSijaona alipouliza lakini
Hahahahaha
Na anunue tuu mamie
JamaniiiiMbona mi sijaona swali lakini......
Dah sio kwa debe hili
AsanteTOP TEN
Kwa bongo nafikiri Mzee Bakhressa na kampuni yake ya Azam ndo wanaongoza kwa kutoa ajira .....maana kuanzia Dar hadi vijijini tunatumia unga wao,vingamuzi vyao,ukija kwenye michezo pia Azam Fc inalipa vizuri wachezaji kuanzia kuwapa nyumbani,matibabu,usafiri n.k
Licha ya kwamba serikali kupitia taasisi au mashieika ya umma imeajiri watu wengi ila mchanga wa sekta Binafsi katika ajira ni mkubwa ....ila Kwa upande wa kulipa vizuri wafanyakazi kotekote wapo wanaolipwa vizuri na wanaolipwa vibaya
Sasa tuangalie makampuni yaliyoajiri watu wengi duniani
Karibuni
......
Utamu wangu..Babe
Hahahaha...hongera Mcdonald...mi napenda pizza sana Mdau Bitoz tupe ofa tu bila masharti ya PM.10/McDonald's Corp.Kwa watoto wa kiahua au watu waliozoea mboga saba hakuna asiyeijua McDonald's ....ni kampuni kubwa ya migahawa iliyosambaa duniani
Ni kampuni inayomilimiwa na Wamarekani na ambayo Kwa mwaka hupata mapato yanayokadiriwa kufikia USD 28.2 Billion
Imeajiri wafanyakazi takribani 440,000 katika ajira rasmi ila wapo wengine takribani milion wanaoitegemea kuendesha maisha yao
Demu anayetaka pizza anifuate PM
......
T wa Sakayo karibu
Asikununulie kama yangu tu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Pole na majukumu lovieUtamu wangu..
Asnte mama mchuchu...T wa Sakayo karibu
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Pole na majukumu lovie
Amina mamy...MATHAYO 20
32.Yesu Akasimama,akawaita akasema mnata niwafanyie nini?
33.Wakamwambia ,Bwana twataka macho yetu yafumbuliwe.
34.Yesu alawahurumia ,akawagusa macho yao;mara wakapata kuona,wakamfuata
BABA asante kwa somo jioni hii ya leo.
Tunaweza kujiuliza kwanini Yesu aliwauliza swali hili hali akijua ni vipofu?
Ingawa ni vipofu hitaji lao lingeweza lisiwe la kuona.
Nia ya Yesu ni utambue hitaji lako na kulitaja wazi mbele zake.
Sasa YESU anakuuliza nawe,pamoja na kuwa anaifaha mu hali unayopitia lakini anataka kusikia toka kinywa chako,nia yake ni wewe kueleza shida zako kwa kinywa chako na kutaja wazi mbele yake.
Anakuuliza unataka akufanyie nini?
Mwambie hitaji lako sasa,ATAKUSAIDIA.
JIONI NJEMA MBARIKIWE
Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Mi nataka pizza10/McDonald's Corp.Kwa watoto wa kiahua au watu waliozoea mboga saba hakuna asiyeijua McDonald's ....ni kampuni kubwa ya migahawa iliyosambaa duniani
Ni kampuni inayomilimiwa na Wamarekani na ambayo Kwa mwaka hupata mapato yanayokadiriwa kufikia USD 28.2 Billion
Imeajiri wafanyakazi takribani 440,000 katika ajira rasmi ila wapo wengine takribani milion wanaoitegemea kuendesha maisha yao
Demu anayetaka pizza anifuate PM
......
Mpe pole Mungu amtie nguvuAtaitika mamy
Wiki ijayo atakuja, japo anasema hajisikii vizuri