Asante makapukuuuuuu, Asante ankali JJ kwa historia bora kabisaNa kufikia hapo basi sina la ziada kwenye historia. Asanteni sana kwa kunifuatilia..... Shukrani sana kwa mwaka mmoja na miezi 3 ya Makapuku Forum ambao ndio imedhamini ngwe hii....
Niite Jimena Jimenes a k a JJ nawatakia jumatatu njema yenye mafanikio tele
Pole Mond Mungu mwema umeamka jiandae mapema uwahi hosp
[emoji24] [emoji24] [emoji24]Morning Nyagei wa Linamo
[emoji120] [emoji120] [emoji120][emoji109] [emoji109] [emoji109]
Umepata tiba?Nimepata dawa tayar na nimeshatumia now kidogo naweza hata kutembea..
Mondray hili tatizo nakumbuka si mara ya kwanza,naomba uongee na daktari akuambie mambo muhimu na dawa muhimu za kuwa nazo kama first aid ,za kukusaidia mpaka ufike hospitali,ni hatari kupata maumivu mfululizo bila msaada
Umepata tiba?
Niko poa comrade sijui wewe?Uko poa lakini?
Tunapitia mengi mwananguSomo zuri sana
Safi pata muda upumzike kisha ufuate ushauri wa daktariNdio..
Niko salama mkuu,Niko poa comrade sijui wewe?
Hakika mamaTunapitia mengi mwanangu
Njema mkuu Shululu za uzima ,mnaendeleaje?Mungu awabarikiZa familia mama mchungaji
Kumbe ndio shem wetu huyo
Amen Jimena uwe na siku njemaAsante. Baraka hizo ziwe na kwako pia
Heri ya siku ya kuzaliwa mwanamitindo Maria Julia MantillaLeo katika Historia
10/7/1984 - Maria Julia Mantilla, Mwanamitindo toka nchini Peru anazaliwa
Alikuja kuwa Miss World 2004.
Heri ya siku ya kuzaliwa Mario GomezLeo katika Historia
10/7/1985 - Mario Gomez anazaliwa.
Ni mchezaji wa mpira toka Ujerumani.
Heri ya siku ya kuzaliwa Jessica SimpsonLeo katika Historia
10/7/1980 - Jessica Simpson anazaliwa.
Ni mwanamitindo, Muigizaji na Mwanamuziki kutoka nchini Marekani.