sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Yes....kila kitu Wala usihofu.... Mambo yataenda vema...![]()
![]()
alikuachia kila kitu?? Napata ukakasi kwa kweli.
Muulize young blood anajua hill swala
Yes....kila kitu Wala usihofu.... Mambo yataenda vema...![]()
![]()
alikuachia kila kitu?? Napata ukakasi kwa kweli.
Dunia imemkolea
Shemeji upo long time no seeDuh heart attack tayari
Dah mkuu samahan.....ila nimefurah kukuona.....Dogo mbona mie nimesahauliwa hapo😀😀
Nafikiri alikuwa fake pastor.Dunia imemkolea
Tatizo unapotea sana![]()
![]()
Hahaha.Cute b si wifi yangu kwa mshana Jr...sikuhizi hizi anachepuka na sumbai tena? Kweli dunia haiko fear.
Ila sumbai jiandae kushushwa mshipa.
Young blood si kaachwa na nahrene?? Naye sahivi kabaki msela tuYes....kila kitu Wala usihofu.... Mambo yataenda vema...
Muulize young blood anajua hill swala
Pole mrembo....Duh heart attack tayari
Poa karibu mkuu.Kaka nimerudi mjini now!!!
Dah mkuu samahan.....ila nimefurah kukuona.....
Mambo vpi??? Pole kwa mishe za wik nzima
Nipo Shem tatizo majukumu mengi uzee nao unajongea.Shemeji upo long time no see
Hajapata mwenza tu?Nafikiri alikuwa fake pastor.
Ngoja na Mimi nitafute mchepukoPole mrembo....
Huna haja ya kuwaza saana.....
mshana jr hawez muiba cute bCute b si wifi yangu kwa mshana Jr...sikuhizi hizi anachepuka na sumbai tena? Kweli dunia haiko fear.
Ila sumbai jiandae kushushwa mshipa.