Makapuku Forum

Pole mdau Bitoz,inaumiza sana hasa unapokuwa umebanwa na unahitaji huduma
 
Leo katika Historia:

8/7/1994 - Kim Il-Sung. Aliyekuwa Rais wa Korea Kaskazini anafariki Dunia.
Ndiye mwasisi wa NK yaani baba wa Taifa
Ndiye babu wa dogo mapanki
Kim ananyoa panki kumuenzi tu na pia kujifananisha na ushujaa/ukatili wa babu yake
Hivyo ukistaahabu panki la mjukuu utaliona panki la babu yake
......

 
Ahsante
Samtaimu inatia hasira maana unaweza ukawa na bima ya afya mkononi halafu unaambiwa ukanunue dawa utadhani kadi yako ni ua au kitambaa cha kuvutia kwapa
......
Mbaya sana,niliwahi kwenda hospital binafsi niko tight,dawa zipo bima ya afya bei chini,namshukuru Mungu pharmacia ananifahamu akanambia nitop up kiasi pungufu ili nihudumiwe,maana dawa zenyewe ni za kuchoma ,ilibidi nifanye hivyo
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…