Makapuku Forum

Siku hizi kuna Mchawi nini?
Ubize ulianza kwa Nyagei,ukafuata Transcend,ukaja kwa Dikteta,ukahamia kwangu kisha ukatua kwa Shumie na pia kwa Jimena

Ni dalili kwamba siku hizi watu majukumu yameongezeka hivyo watu hawawezi kushinda sana JF
Ni jambo jema kutafuta mawe halafu mtu ukipata muda unajichanganya kama One ambaye ambaye mida yake jioni/usiku tu
.......
 
Oh, nilisahau nilijua na leo kuna meli nilipoona mtumbwi umejaza watu hapa. Ha hahahaha, nilipotimuliwa ulifurahi sana ila baadaye uliumia maana ikawa ngumu kwako kukutana na jamilah waliyekuwa wanasoma na Shakira kidato kimoja
Jamilah achana nae utoto unamsumbua kitu kidogo ashamwambia dadake
 
Mkuu

Mimi kweli majukumu yameongezeka nawaza sana namna ya kubalance mambo ila unakuta saa 3 usiku ndio napata time ya kupita huku..

Ila huku sitoweza kuleft..
 
Amen
 
Na mimi nasikitika next week naingia poriii
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…