Makapuku Forum

Asante saaana Obe wa Husna

Umejua kunibamba ile kinomaaa
 
[emoji524] MATHAYO 5

14.Ninyi ni nuru ya ulimwengu,Mji hauwezi kusitirika ukiwa juu ya mlima.

15.Wala watu hawawashi taa na kuiweka chini ya pishi,bali juu ya kiango;nayo yawaangaza wote walio nyumbani.

16.Vivyo hivyo nuru yenu na iangaze mbele ya watu,wapate kuyaona matendo yenu mema,wamtukuze BABA yenu aliye mbinguni.

MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
 
Nakupenda mamy...
 


Ubarikiwe nawe pia, nuru yetu na iangaze. Hivi si kuna maneno yanasema Amka Uangaze?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…