Mndali jamaan nimejikuta chozi linanitoka kakaWakuu kumekucha salama Jana nimeahidi kutoa msimamo wangu juu ya kuto kumwona afande shedede
Sasa nimeamua kuto kuingia jukwaani hapa kwa siku tatu
Kuonyesha kuwa alicho kufanya husna kumtelekeza afande wakati aliacha kazi kwaajili yake ili awe karibu nae sasa katelekezwa
Na mzee wa saa mpya umejichukulia shemeji yako bila hata kumhurumia afande na maumivu yake
Leo nasema kuwa tu kila jambo na wakati wake Fanya kila kitu kwa manufaa ya Leo na kesho
Nawaacha na utafiti hewa : uvivu wako ndo chanzo cha umaskini wa familia yako
NzuriHabar za asubuhView attachment 537076
HadithiiMuendelezo wa sehemu ya 24 tafadhali
ShunieMorning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan
Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss
Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja
Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana
Mungu awabariki sana sana
Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
MornMorning wana jukwaa
Asante Mungu kwa pumzi nyingine sifa na utukufu ni kwako wewe ulie juu kabisa
Mh! Unashangilia mauaji lohSafi police wetu namna hiyo
Sio mna lala lala tu
Kibiti oyeee
Kweli kabisaa badala ya kupendeza sasa anajiharibuI see hizi makeup zinazeesha huyu binti ni mzuri bila makeup anapaswa kujua
Tuwaombee sana watoto wote.usijali wako,jirani,adui,rafiki,ndugu..OMBA OMBA OMBA MUNGU SIO KIZIWI......ANASIKIA
Asante kwa kuyapitia mama mchungajiMungu hutoa kwa wakati,ni lazima tuhesabu baraka zote katika ndoa...Mungu anayosiri nzito kuhusu ndoa
ASANTE KWA MAGAZETI MKUU SHULULU NA CHAPLIN KWA UDHAMINI MBARIKIWE
Asante mpendwa wa ObeAsante mkuu
Nawe pia
Marahaba mwanangu za uzima?nini mbaya mwanangu?Natamani kukuona ukiwa na Amani ..NAKUPENDAShikamoo mama yangu kipenzi
Asante shemela, Mungu akutangulie katika majukumu yako, nasi tunakumiss sana, kapuku ni familia yetuMorning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan
Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss
Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja
Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana
Mungu awabariki sana sana
Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Shemela wa mimi apa, umeamkajeShemela
Wengine wanadiriki mpaka kupicha vitumbo vyao ili kuvitupia mtandaoniKwani kuzaa hadi utangaze..jamani kuwa mjamzito ni BARAKA...HATA KAMA Mwanaume kakataa mimba....kaa kimya zamani tuliaswa mimba ni siri watoto wetu wanapenda kuizungumzia mno.kwani ukikaa kimya mtoto hazaliwi?natamani watoto wa kike wafahamu wao ni wathamani mbele za Mungu ,kama ulifanya makosa ukabeba mimba bila ndoa halali na me anakataa TUBU..SONGA MBELE MUNGU ANAMJUA MTOTO ANAEKUJA KULIKO WEWE NA HUYO ME..JOKATE KAMA NI MJAMZITO MUNGU AMSAIDIE AACHE MALUMBANO NA KUMTAMKIA MTOTO MANENO..WATOTO TUMBONI WANASIKIA
Naumia sana,afadhali hao wanafunzi wanazifich hizo mimbaWengine wanadiriki mpaka kupicha vitumbo vyao ili kuvitupia mtandaoni
Kila LA heri mkuuMorning wapenzi hope mmeamshwa salama nawamiss sana jamaan
Natoka kidogo jf tutaonaona nikirudi kama baada ya week au viweek kadhaa nitazidi kuwamiss
Mungu azidi kuwaweka tupo pamoja
Mama mchuchu nilimpa sakayo ujumbe asubuhi naomba umtumie no yako mama nakupenda sana
Mungu awabariki sana sana
Kapuku kwangu ni zaidi ya familia
Nambie my,naona unatukimbia etMpendwa wa binamu yangu
Salama sana shemela hofu kwako na mke mwee akija mpe salaam zangu sana jamaanShemela wa mimi apa, umeamkaje