...ukianza kuweka weka mistari ya Ufunuo hivi utawapa shida sana wanaopanga kukutongoza na kuwarahishia kazi wazee wa vitabu vya Daniel na Ufunuo, unawajua (joke)
Sawa kabisa tena ikibidi njoo na pafyumu nivipulizieee
Unaonaa sasa wewe kwa nini unashindwa mambo mimi nimepiga nilichokutana nacho simu ndo inajua na tcra wake ...mapovu nimemwambia atunze yatamsaidia kudekia ....
Sio vizuri mkwe kusema...ila huu ni utumwa..anavumilia kwakuwa anakupenda na anaamini utabadilika....haya maisha ya kuigiza siku moja utayafurahia in real life maana Moyo na mdomo huumba