Makapuku Forum

 
Binamu nimeona ...ila muhimu unikumbuke kwenye ufalme ....


Nilifika salama sorry mambo mengi nilisahau update


...kwenye ufalme wataingia walio watakatifu, wasafi na wanaotoa sadaka. Ijumaa tukikutana pale bar njoo na hela kabisa nikuuzie vitambaa vyeupe vimeombewa na mtume, nabii na injinia wa kule Naija. Wewe kwa kuwa ni mjomba wangu nitakupa ofa, unaweza kuanza kulipa kwa awamu.

Usitumie ile namba ya Voda (unamjua aliyeichukua). Andika EMO
 
kila kitu ukichukulia serious humu utaumiza kichwa bure kijana.. Wengine humu tunatafuta furaha tu so nikiwa nazingua watu kama hiv nafurah tu.
 
Hakika
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…