Makapuku Forum

Hongera kwa 232 K mama mchungaji
 
Ni kwelii hawa jamaaa hawana copulation kama viumbe wengine ......reproduction mode yao ni amaizing kiukwelii make lijamaa halina time ya kukimbizana na jike ni mwendo wa kunyapiana tuu tena kwa ustaarabu wa hali ya juu...

Ni kweli dume huwa linazalisha spermatophores tuseme mbegu za kiume na hasa ni kipindi cha warms kinakuwa favourably. ..ila anachokifanya jamaa ni kucheza au kutega courtship dance ....then jike linazalisha pheromones ...mwishowe kwa kuwa kuna chemical attractive ndo reproductions inatokeaa


Asante mdau
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…