Makapuku Forum

Leo katika Historia

6/7/1964 - Siku ya Uhuru wa Malawi
Baba wa Taifa hilo ni Hastings Kamuzu Banda
Banda alikuwa ni miongoni mwa wasomi wa mwanzomwanzo wa Kiafrika
Alikuwa anajua kuongea kwa ufasaha lugja ya Kiingereza Hivyo akawa kiongozi kipenzi cha Malkia wa Uingereza barani Afrika
Alichukiwa na viongozi wengi Kiafrika akiwepo Julius Kambarage Nyerere kutokana na kuwa kibaraka wa Malkia na Wazungu
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…