Makapuku Forum

Asante kwa mengineyo

ufukuzi huu wa makaburi kwanini?

Kuingilia uchaguzi kivipi..ninachofahamu kunauangalizi wa ndani na nje..kwa ajili ya kuona uchaguzi ubakua free and fair.Huru na Haki

makombora ya korea yataleta mengi tusiyoyajua.

Kwanini mauaji Mandera Kenya?Serikali iliangalie kwa karibu.
 
ISAYA 54

17.Kila silaha itakayofanyika juu yako haitafanikiwa,na kila ulimi utakaoinuka juu yako katika hukumu utauhukumu kuwa mkosa.Huu ndio urithi wa watumishi wa BWANA,na haki yao inayotoka kwangu mimi ,asema BWANA.

Mpendwa wangu,BWANA MUNGU anasema nasi asubuhi ya leo kumbuka unapoishi kuna changamoto nyingi na maadui wengi,maneno mengi ya kukatisha tamaa,mambo mengi ya kuturudisha nyuma na kutuvunja moyo yote haya Mungu Baba yetu anayajua na anapenda kutukinga nayo ,na hakika atatukinga..jambo la Muhimu kwetu ni kumtegemea yeye na kumuamini na kumuweka yeye kwanza na hapo kila jambo litakingwa naye...silaha zitakazoelekezwa kwetu hazitafanikiwa,maneno mabaya laana mikosi havitatupata kama tukijikabidhi kwake...jikabidhi kwake BABA siku zote za maisha yako upate urithi huu .hii ni Ahadi ya MUNGU kwetu..SHALOM
 
Amen, Asante kwa neno mama mchungaji

Umeamkaje wewe pamoja na Familia yako
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…