Sakayo
JF-Expert Member
- Sep 10, 2015
- 56,368
- 161,463
HahahaUkimanishaa mm nionekane nilikuwa nakula kwa macho ??
HahahaUkimanishaa mm nionekane nilikuwa nakula kwa macho ??
Kweli mkuu..Hiyo ni tafsida tu ila kiuharisia ni Shamba kulima si unajua masika is loading, muulize lee anajua.
Nenda ukajionee shemejiHebu tupe ya huko maana nina ratiba ya kwenda huko
Polini ni iyovi ambako simu huwa hazipatikaniHahahaaa
Hivi porini ni wapi? Manake naona kila mtu anaenda porini sasa?
Hahahaaa
Hivi porini ni wapi? Manake naona kila mtu anaenda porini sasa?

Mzee wa historia taarifa yke ilitolewa kuwa atakuwa busy Nyagei huwa anapita ucku mara nyingi shida ipo kwa ShedyShedede , nyagei na mzee wa historia siwaoni
PoaMimi nalala, nawatakieni wote usiku mwema
Zima data kwanza..Silaliii tenaaaa
ZimefikaPoa
Msalimie Tumoo
Nataka Tulale data onZima data kwanza..
Unacheka nn,ucnambie umesahau
AlimuachaaCdhani kama anayo
Raha ni kula wewe, sio kuangalia akiliwa..Ukimanishaa mm nionekane nilikuwa nakula kwa macho ??
Nimesahau mke mwee kama wewe mana nimecheka vingi sanaUnacheka nn,ucnambie umesahau
Zimeni jamanNataka Tulale data on
Toka na ulalee ...kama unataka kesho nikunyanganye simu siku nzima endelezaa upuuzi huu unaoandika![]()
naomba nitoke jf baba d
Mbona hivyo tena sakayo sema kama uongoKho Kho Kho Kho Kho Kho
PoaShedede hata kwa phobe simpati wasapu ndio kabisaa, labda yuko porini..