Kwanza ulipotea sana aunt, pili, nipo sema hii simu niliyogaiwa na anko haina line (chip) yaani ni mwendo wa Wi-Fi tu na hata namba ni ya guglo pekee sasa ndo nimegundua baada ya net kuwa inasumbua. anyway zawadi ni zawadi ila hii zawadi mjomba alikuwa na makusudi binafsi.