Makapuku Forum

Kiukweli kifo chake kimenigusa na kwa kutambua mchango wake kwenye thread hii leo hakutakuwa na segment ninazopost wadau maana hata akili hazijatulia
Kila nafsi itaonja mauti
..........
 
Nahodha wa Manchester United Wayne Rooney, 31, ameondolewa kwenye kikosi kitakachosafiri kwenda Marekani, na atakamilisha uhamisho wake wa bila malipo kurejea Everton mwishoni mwa wiki. Everton pia wanataka kumsajili Olivier Giroud, 20, kutoka Arsenal kwa pauni milioni 20 (Sun).

 
Manchester United watafanya jaribio la mwisho kutaka kumsajili mshambuliaji wa Real Madrid Alvaro Morata, 24, wiki hii, huku Real wakigoma kushusha bei ya pauni milioni 72 (Independent)
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…