Makapuku Forum

Hee
Ibra gani huyooo
 
Hata humu makapuku alikuwepo yeye ni miongoni mwa watu wa mwanzo nenda kuanzia page # 1 utamkuta
.....
 
RIP Ameondoka mdogo,pamoja na mazoezi ya kutosha,mpango wa Mungu huwezi zuia

Sent from my TECNO H6 using JamiiForums mobile app
Ni mhanga wa mwanzo mwanzo wa ugonjwa wa UKIMWI wakati ule wala haujajulikana sana ndiyo unaanza anza. Inaaminika kuwa aliupata baada ya kuongezewa damu chafu wakati alipofanyiwa operesheni ya moyo.

Wakati huo UKIMWI ulikuwa unahusishwa na mashoga na wagonjwa walikuwa wanajificha kwa sababu ya aibu na kunyayapaliwa. Kwa ushujaa mkubwa alijitokeza hadharani na kusema kuwa alikuwa nao. Wanaharakati wa UKIMWI wanamtambua kama mtu wa muhimu na aliyesaidia kuamsha hisia za umma kuhusu ugonjwa huo!
 
Pia ni miongoni mwa watu wa mwanzo kuwashirikisha kuhusu uzi huu wengine ni EMYDUY,Sissya, baadhi majina nimewasahau

Japo waanzilishi wakuu ni Bailly,Jimena na mimi.....maana hata kabla ya wao kuja chemba sisi wa3 tulikuwa tayari ni marafiki wa JF na tulishaelewana kuanzisha kijiwe ila tukashirikisha na mawazo ya wengine baada ya izi kuanza

Duh ukiziangalia post zake kule mwanzoni utaelewa
.......
 
Aisee, poleni sana
 
Naona unamuenzi kwa hadithi


Hiyo ulioleza hapo ni hadithi niliisoma nikiwa primary huyo kaka aliitwa "martin na mchumbaake aliitwa "beatrce lugakingila" ndoa yao ilifungwa angani..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…