Makapuku Forum

Asante mama mchuchu
 
Asante kwa sala, nalala sasa
 
Nafikiri hukunielewa...

Nimeuliza, ni nani anaeweza kuitwa mwalimu????


Nami nikajibu mwalimu aweza kuwa wa kisasa na mazingira.

Hapa nilimaanisha yule anayefundisha darasani kufuatisha mtaala wa kielimu inayokubaliki kiserikali.

Na pia wapo walimu ambao hawana vyeti vya ualimu lakini wanaujizi wa stadi tofauti, mfano ukulima, uvuvi uchongaji, uchoraji hawa ni walimu endapo utajifunza chini yao watakuonesha yale utakiwayo kufanya shughuli fulani.


Halafu kuna mwalimu mkuu, huyu ndo mkuu maana hata mwalimu wa zamu hakai ofisini mwake. Sawa sawa mkuu
 
MUNGU BABA MWENYEZI Asante kutuamsha salama,tutakase kwa damu takatifu ya mwanao,tuongoze,tufufundishe ,tusimamie tupe moyo safi tutende mema,tufanye kazi kwa bidii,tutengeze amani kwa gharama yoyote,tuchukuliane kwa upendo na tuwasamehe wanaotukosea kama wewe unavyotusamehe,tuepushe na hatari zote za mwili na roho.

Asante maana utatenda sawa na mapenzi yako,mapenzi yako yatimizwe katika jina la Yesu,Amen
SIKU NJEMA MBARIKIWE
 
Amina

Asante kwa baraka ...kazi yako ni nzuri
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…