Makapuku Forum

Huwa sipendi sana hyo kauli ya kuwa mtt akifanya kosa lawama kwa mama sijui kwann na akifanya vzr hongera kwa baba,ama sabab tuliambiwa mtt mpumbavu ni mzigo wa mamaake
Acha tu ,nilijifunza ukubwani maana hata mimi utotoni niliharibu vingi ,thanks God sikulaumiwa kama hiyo familia ilivyomfanyia huyu mama
 
Asante Husna kwa somo ,ubarikiwe sana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…