BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
Ubarikiwe Obe,tunakuthamini sana kwa mchango wako asanteshululu , anko lee empire na BlessedHope ninyi wadau hunianzishia siku yangu kwa uzuri sana. Magazeti, UF na BBC jumlisha Sala kwa mfuatano wa majina.
Ninathamini mchango wenu asubuhi hii na wakati wote. Asanteni bila kusahau najipongeza na Mimi mpenzi msomaji
Bongo bana magazeti yamekuwa na uandishi kama wa Riwaya ya Kusadikika ambapo nafikiri mauzauza ya Mfalme Ju..ha yanajulikana
HahahaKirat
I seeHahaha
I thinks so
Mlikuwa wapi na mkifanya nini usikuBasi Sawa
Yeah.... We are all makapuku
MorningMorning wana jukwaa
Asante kwa magazeti mkuu Shululu ubarikiwe asante kwa udhamini kaka yangu Mndali kazi yenu ni njemaView attachment 535082Kwa udhamini mnono wa Mndali sina la ziada kutoka magazetini
Siku njema makapuku wote
Kamanda nipo nipo mzigon kusaka hela ya ugaliDingi mtoto cha wapi hicho,?
Wanapoteza time tu waachwe waishi walivyojichagulia
Hawa watoto....Mungu aingilie kati wameonesha hali halisi ya hatari iliyopo kwa watoto ,wazazi walezi tujipange..tumuombe sana Mungu kutuwezesha kuwalea watoto wetu wawe na hofu ya Mungu.
I see Malinzi wingu zito
Watakuwa ya akina Hitler hayo wakati Wa Vita Kuu Ya Dunia
Mdau dondpo Na tetesi za usajili km vipi uwe unazituma mojamoja yaani inakuwa rahisi kuzijadiliKatika dondoo za bbc. ..
Korea Kaskazini yarusha kombora lingine katika bahari ya Japan.
Mgomo wa Wahadhiri nchini Kenya waingia siku ya pili, kushinikiza serikali kutimiza mkataba wa nyongeza ya mishahara na marupurupu uliotiwa saini, hali inayowaathiri wanafunzi.
[Ethiopia imeanza ujezi wa viwanda viwili vinavyo tarajiwa kutoa maelfu ya nafasi za kazi kwa wasio na ajira na wakimbizi kutoka nchi jirani.
Wendesha mashtaka nchini Uganda wametishia mgoma endapo madai yao yakiwemo ya nyongeza ya misahara hayatekelezwa katika kipindi cha siku saba zijazo.
Manji nae leo ,kuna nini
AsanteTUPATE DONDOO ZA MAGAZETI YA LEO
Morning pole na safari mkuu ubarikiweMorning family
Niko poa hofu kwako na Shunie,yuko wapi mwanangu?Mama mchungaji umeamkajeee mama