Makapuku Forum

Bhinamu pole

Naomba nikutambulishe kama tulivopanga najua ulikuwa unamficha shunie lakin leo yametimiaa ...

Demi aunt yako mdogo...

Na kuonesha usiliasii ile lain ya zain nimeivunjaa sitaki kutafutwaa...waambie kaendaa msitunii kuchoma mkaa
 
....eeh, sasa mbona unanitambulisha jioni wakati ndo unajua ile safari ya kiga imeiva, unaona sasa aunt yangu tayari keshanisemea mbovu na vitisho chekwa kuwa Kigamboni hakuendeki.

Hivi anko wangu unanitakia mema kweli wewe au ndo unataka kunitoa roho?

Ile laini kama umeivunja ntawapa ya landline ndo ujue huu utambulisho sikubaliani nao
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…