Makapuku Forum

Makapuku Forum

Marafiki zangu naombeni mnisaidie kitu kimoja, kuna staff mwenzang ananinyanyasaga sana kazini wapendwa, karibia kila wakati, akileta kazi yake na matusi juu,nimevumilia lkn imefikia hatua nmechoka natamani hata kuacha kazi,nifanyeje basi jamani
Aisee, mpuuze tu na usijali anachokisema

Baadaye yeye ndio atajiona mjinga
 
88afbd709bce3f7d817ce53aed37292d.jpg
Sinaga hayo mambo nimeridhika na kufuga bata

Kwa ID ningeamua hivyo ningeshawaliza zamani sana

.....
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom