Makapuku Forum

Daaaah
Haya bwana
 
Marafiki zangu naombeni mnisaidie kitu kimoja, kuna staff mwenzang ananinyanyasaga sana kazini wapendwa, karibia kila wakati, akileta kazi yake na matusi juu,nimevumilia lkn imefikia hatua nmechoka natamani hata kuacha kazi,nifanyeje basi jamani
Bitoz kakushauri vyema sana
Lskini ikiwezekana nipe nsmba yake nianze uhusiano naye ataniambia kila kitu. Je unahisi naweza ku win kwake?
Lengo langu sio uhusiano bali kujenga ukaribu naye na wadada muwapo kwa uhusiano huwa mnafunguka hadi ya uvunguni
Bitoz
 
Ahsante mtani, ila wa kiume angekuwa ke nngekupa tu namba
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…