Makapuku Forum

Makapuku Forum

Sina uhakika avatar yake ipo banned na last seen ipo ya mbali labda km avatar kuweka mwenyewe ila km ni ban basi nafikiri ni la maisha

Ila km unavyojua hakuna anayeondoka moja kwa moja atakuwa yupo humu humu kwa ID nyingine anaanza kuitengeneza na kuifanya brand kisha tutasikia vilio tena

........
Daaaah
Haya bwana
 
Marafiki zangu naombeni mnisaidie kitu kimoja, kuna staff mwenzang ananinyanyasaga sana kazini wapendwa, karibia kila wakati, akileta kazi yake na matusi juu,nimevumilia lkn imefikia hatua nmechoka natamani hata kuacha kazi,nifanyeje basi jamani
Bitoz kakushauri vyema sana
Lskini ikiwezekana nipe nsmba yake nianze uhusiano naye ataniambia kila kitu. Je unahisi naweza ku win kwake?
Lengo langu sio uhusiano bali kujenga ukaribu naye na wadada muwapo kwa uhusiano huwa mnafunguka hadi ya uvunguni
Bitoz
 
Ahsante mtani, ila wa kiume angekuwa ke nngekupa tu namba
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom