Makapuku Forum

Makapuku Forum

Ila hapa huwa sielewiii kabisa nini mnakimanishaa
Tapeli la JF aliyekuwa anaingia PM za wanaJf kuomba/kukopakopa 10k--30k Tsh kisha ndo inakuwa imetoka hiyo...alikuwa akipenda kusema kaka/dada naomba uniassist

Alipoona kishaharibu akaweka thread ya kuaga MMU zen siku chache baadaye watu wakamwaga nyongo na kila mtu kuduwaa maana alijenga urafiki na watu wengi
Naona katandikwa life ban au kaamua kusepa kimyakimya (avatar ipo ya banned)
Kibaya washikaji zake Mr Assist wote waliokuwa wanamtetea wamekula kina now humu JF wamejificha kama panya
Mwisho wa ubaya ni aibu

.......
 
Tapeli la JF aliyekuwa anaingia PM za wanaJf kuomba/kukopakopa 10k--30k Tsh kisha ndo inakuwa imetoka hiyo...alikuwa akispenda kusema kaka/dada naomba uniassist

Alipoona kishaharibu akaweka thread ya kuaga MMU zen siku chache baadaye watu wakamwaga nyongo na kila mtu kuduwaa maana alijenga urafiki na watu wengi
Naona katandikwa life ban au akaamua kusepa kimyakimya (avatar ipo ya banned)
Kibaya washikaji zake Mr assist wote waliokuwa wanamtetea wamekula kina now humu JF wamejificha kama panya
Mwisho wa ubaya ni aibu

.......
Ray alikula ban kumbe
 
Ray alikula ban kumbe
Sina uhakika avatar yake ipo banned na last seen ipo ya mbali labda km avatar kuweka mwenyewe ila km ni ban basi nafikiri ni la maisha

Ila km unavyojua hakuna anayeondoka moja kwa moja atakuwa yupo humu humu kwa ID nyingine anaanza kuitengeneza na kuifanya brand kisha tutasikia vilio tena

........
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom