Makapuku Forum

Makapuku Forum

Nimesoma post zilizofuata
Kumbe siyo boss
Kitu rahisi akamchongee tu kwa boss akiona boss anamkingia Kifua basi achukulie ni changamoto tu Hivyo anaweza tu Kumuignore
Ukimfanyia mtu kinyume chake ataanza kuona huna habari naye
Mfano anakutukana/fokea kwa ukali wewe una kuwa mpole tu au kutomjibu Mwisho atajichokea mwenyewe
......
Huwa simjibu hata Mara moja ila Leo ndo nmemjibu tena nilimwambia ataninyanyasa hadi lini ama shida yake nn aseme hakujibu akaondoka
 
Huwa simjibu hata Mara moja ila Leo ndo nmemjibu tena nilimwambia ataninyanyasa hadi lini ama shida yake nn aseme hakujibu akaondoka
Wewe peleleza kwanza uhusiano wake na boss ujue kama boss labda ni "mtu wake" ...ukijua hana ukaribu wowote na boss basi kashtaki kwa boss atajua cha kukushauri au yeye mwenyewe kuchukua hatua

Km ni mtu wake yaani ana ukaribu na boss basi unatakiwa tu kuwa mpole na kutoumfuata boss bali changamoto hiyo uikabili mwenyewe kwa kumpotezea tu maana kesi ya ngedere ukimpa nyani lazima apendelewe
.........
 
Wewe peleleza kwanza uhusiano wake na boss ujue kama boss labda ni "mtu wake" ...ukijua hana u karibu wowote na boss nasi kashtaki kwa boss atajua cha kukushauri au yeye mwenyewe kuchukua hatua

Km ni mtu wake yaani ana ukaribu na boss basi unatakiwa tu kuwa mpole na kutoufuata boss bali changamoto hiyo uikabili mwenyewe kwa kumpotezea tu
.........
Ahsante sana nitalifanyia kazi
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom