Lee
JF-Expert Member
- Jul 31, 2013
- 44,001
- 150,526
Ok wewe unahisi y anafanya hivo ??Sina utani nae wala si kiongozi wangu,yy n mchora ramani tu anaweza akawa na kazi yake akaniletea nikwambia nna kazi subiri nimalize anaanza matusi
Je wewe una connection yoyote kumzidi yeye kazin nikimanisha kwa wakubwa wako wa kazii ??