Leo katika Historia
3/7/2013 - Mohamed Morsi Rais wa Misri anapinduliwa na Jeshi baada ya siku Nne za maandamano Nchi nzima.
Nakuonaa nakuonaaaKwema Sakayo muke ya T
....
Nzuri clkey, za weweMmeamkaje makapuku wenzang
JamaniiiiLeo kaenda clinic
Yuko wapi jamaniAtakuja tu
KweliJamaniiii
Ukweli ni upiSi kweli
Mwambie nammissKweli
Simu nimemnyanganya make kuna mambo sikuyaelewa kwenye simu yakeMwambie nammiss
Simpati kwenye simu
Acha mambo zako weweSimu nimemnyanganya make kuna mambo sikuyaelewa kwenye simu yake
Dongo kwa RainyundoAsante. Hebu nipige assist kidogo basi
Watu mna maneno.....daktari wana tiba....kweli aisee, nimeamua kupunguza vitu vinavyochosha mwili. Nimeanza na nyweli, nazikata kila wiki, na kunyoa pale ninapoona mwili unachoshwa.
Asante lwa ushauri Husna mpendwa wangu. Umeamka salama lakini
Nilimuuliza kaleta dharau kwa kumsamehe kutoivunja ikabidii nimnyanganyeeAcha mambo zako wewe
Ila hapa huwa sielewiii kabisa nini mnakimanishaaDongo kwa Rainyundo
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
......
Nakuona kwenye assist zakow!!![emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Mama ata usijidanganyee kutuma sms simu nimeiwasha hapa naona text zako ...kifungo chake bado kumuachiaa ...au nikujibu uaminii ??Acha mambo zako wewe
Una utani nae ???Marafiki zangu naombeni mnisaidie kitu kimoja, kuna staff mwenzang ananinyanyasaga sana kazini wapendwa, karibia kila wakati, akileta kazi yake na matusi juu,nimevumilia lkn imefikia hatua nmechoka natamani hata kuacha kazi,nifanyeje basi jamani
Sina utani nae wala si kiongozi wangu,yy n mchora ramani tu anaweza akawa na kazi yake akaniletea nikwambia nna kazi subiri nimalize anaanza matusiUna utani nae ???
Je ni kiongozi wako kazin au ??