Yanakuhusu ??Sio kwa maua hayoooo
Nimetembelewaaa sio kwa lishoga lile...numbisa kanitoa tongotongoanatoa ushauri ilikuwa mmu hatimaye baba d katembea
Heshima kwako binamu ........tulia wewe, mamito ndo nani? husna muba ni mpendwa na BH kila siku ananitolea mbavuni.
Kwani Vale yupo wapi?
Akili za biaaBinamuuuuu umemisika usisahau nyimbo yangu au niwekee mbili leo na nyingine ya kassim mganga ya leo si unajua vene nakupenda binamu yangukigamboni tunaenda
Shukrani bhinamuuMuziki: Wikend Tulivu
Ilikuwa ni wiki yenye mambo mengi, hatimaye leo ni Ijumaa na japo nayo inaelekea kuisha lakini sichoki kuamini kuwa umekuwa na siku njema kabisa. siku ya mwanzo wa mapumziko kwa wengi wetu lakini usisahau ndo wiki ya kurejesha nguvu iliyotumika katika siku tano 'za kazi'. Ni siku ya homework na bed-work kwa wale wenye majukumu na hatuwachi mbali wale wazee wa selfie yaani oneself. Hongera sana.
Unajua hupaswi kuifanya Ijumaa kuwa ngumu, ni siku ya kutafakari, kujipanga na kupanguliwa. leo hata sijui niandike nini maana siku imekuwa rahisi kuliko urais wenyewe. Ni mwendo wa sharubati na monde kwa kwenda mbele yaani si mchezo. Si unajua kuna makande, yeah, mchakanyiko wa nafaka zinazopikwa pamoja. Mmmh, na wapo wanaochanganya vinywaji sasa, makande ya vinywaji, azam juice, mo soda, safari lager, savana na konyagi ili mradi tu kulifanya tumbo litambue kuwa nalo ni sehemu ya mwili.
Muziki sasa, kapuku mwenzangu leo tunahama kidogo kwenye ile myuzikiz zetu na tunaenda kwenye muziki wa taratibu, yeah haina kubamba wala kubambia. Unakaa chini na unatikisa mguu taratibu, ukiona umeguswa sana basi unaamka kwa adabu na kwenda kumtuza mwimbaji. Ndivyo alivyokuwa anafanya hata mzee wetu kipenzi Ali H. Mwinyi. Sasa leo kaa chini uburudike na wimbo huu hapa mtamu kabisa.
Asante Toz1/Oprah WinfreyAlizaliwa Januari 29 1954
Utotoni akitokea familia ya kimaskini Hivyo kupitia changamoto kibao
Akiwa na umri mdogo alibakwa na nduguye ...haikuidhia hapo
Akiwa na umri mdogo tu akapewa ujauzito ila akapoteza kichanga chake baada ya kujifungua(mtoto walifariki) ila akaendelea na ndoto zake......Huku Bongo Sizonje hawataki mabinti waliopataujauzito waridi shule(mi nampinga)
Hajabahatika tena kupata mtoto
Mweneshaji huyu wa zamani wa vipindi vya luninga ana vidole 6 mguu wa kushoto ....pamoja na kuwa na utajiri mkubwa lakini amejikubali na kuviacha kama vilivyo licha ya utotoni kuchekwa
Halle Berry naye mguu mmoja ana vidole 6.,..
Ana utajiri unaofikia USD 3 Bilioni
.
.
.
.
.
Shukrani kwa mliosapoti mada
Tukutane Jumatatu
Mwisho
...........
Jaman ulitekwa na nani tena lakini kakuacha salamaamna mshikaj nilitekwa unajua
Beyonce walikua na kundi lao linaitwa destiny child badae kila mtu akanza kuimba mwenyewe aise lile kundi lao lilikuwa motohata hao akina Beyonce basi enzi hizo
Macho yanalia moyo unachekaMuziki: Wikend Tulivu
Ilikuwa ni wiki yenye mambo mengi, hatimaye leo ni Ijumaa na japo nayo inaelekea kuisha lakini sichoki kuamini kuwa umekuwa na siku njema kabisa. siku ya mwanzo wa mapumziko kwa wengi wetu lakini usisahau ndo wiki ya kurejesha nguvu iliyotumika katika siku tano 'za kazi'. Ni siku ya homework na bed-work kwa wale wenye majukumu na hatuwachi mbali wale wazee wa selfie yaani oneself. Hongera sana.
Unajua hupaswi kuifanya Ijumaa kuwa ngumu, ni siku ya kutafakari, kujipanga na kupanguliwa. leo hata sijui niandike nini maana siku imekuwa rahisi kuliko urais wenyewe. Ni mwendo wa sharubati na monde kwa kwenda mbele yaani si mchezo. Si unajua kuna makande, yeah, mchakanyiko wa nafaka zinazopikwa pamoja. Mmmh, na wapo wanaochanganya vinywaji sasa, makande ya vinywaji, azam juice, mo soda, safari lager, savana na konyagi ili mradi tu kulifanya tumbo litambue kuwa nalo ni sehemu ya mwili.
Muziki sasa, kapuku mwenzangu leo tunahama kidogo kwenye ile myuzikiz zetu na tunaenda kwenye muziki wa taratibu, yeah haina kubamba wala kubambia. Unakaa chini na unatikisa mguu taratibu, ukiona umeguswa sana basi unaamka kwa adabu na kwenda kumtuza mwimbaji. Ndivyo alivyokuwa anafanya hata mzee wetu kipenzi Ali H. Mwinyi. Sasa leo kaa chini uburudike na wimbo huu hapa mtamu kabisa.
Baba D ukinijibu hivyo hujui tu ujue nacheka sana yaan wewe hahhahahI know
Binamu asantee jamaansijawasahau wote wanaopenda kuruka majoka, yaani wazee wa mitikisiko, kutikisa na kutikisana. Hebu tuburudike na muziki huu kwa udhamini mzuri wa Shunie
Anaitwa Chidinma mshindi wa Kora na mnaijeria anayefanya vizuri kwenye muziki wa vijana. utavutiwa naye kwa sauti nzuri na sauti yake tamu inaendana na uchezaji wake. Utampenda.
Bhinamuu michakato imedodaa wasemavyooo....Anko vipi, utanikuta hapa hapa ukimaliza michakato yako.
HahhaahYanakuhusu ??
Baba uwe unatembea tembea kama hivyo
Shoga tena si mama mchungaji jamanNimetembelewaaa sio kwa lishoga lile...numbisa kanitoa tongotongo
Pole jamaan Baba DHeshima kwako binamu ...
Mm siko poa kivile kihoma kwa mbaliii
Sijanywa kabisaAkili za biaa