Makapuku Forum

5Janet Jackson Alizaliwa Mei 16 1966
Ni dada wa Michael Jackson....utotoni familia yao ilianzisha kundi la muziki liitwalo Jackson 5 ambapo na Wacko Jacko na wengine walitamba vilivyo na ukawa ndo upenyo wao wa kutokea
Juzijuzi amwbahatika kupata mtoto yaani uzeeni angalia mwaka aliozaliwa utaelewa tu
Katamba kimuziki na kuingiza pesa za kutosha
Utajiri wake haujulikani vizuei maana kuna data zanakanganya
Ila Ni kuanzia USD 200Milion hadi kama 600 Milioni hivi(sina uhakika)
.......
 
Janet jamaan hiyo pic ya mwanzo huo mwili urudi
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…