Makapuku Forum

NUKUU YA LEO

The United States must choose! It’s up to you whether the nation called the United States exists on this planet or not.”

Marekani inapaswa kuchagua, ni juu yake kama taifa linaloitwa Marekani liendelee kuwepo au lisiwepo

Haya ni maneno yaliyotamkwa na kiongozi wa chama cha worker's party of korea (WKP) na Rais wa Jamhuri ya watu wa Korea.

Kim Jung-un alizaliwa January 8 1984 wakati rekodi za wamarekani zinadai kim alizaliwa July 5 1984.

Kim jong-un ni mtoto wa pili wa mzee Kim jong-il alikuwa Rais na kufariki 2011.

Kim-jong un ana degree mbili , moja ya Fizikia na yingine ni mambo ya kijeshi.

Kim amekuwa na mvutano na kutokuelewana na Marekani na washirika zake kutokana na mpango wake wa kurutubisha na kuzalisha silaha za Nyuklia.

Week iliyopita waliwekewa vikwazo 14 na umoja wa Mataifa ikiwa ni pamoja na kufreeze assets zote za korea zilizoko nje ya korea, hati za kusafiria zimekatazwa pia.

Wakati huo huo marekani anataka kufanya mazungumzo na Korea kaskazini , japo korea amekataa ombi hilo






Kwa ufupi tuu wakuu..
 
Asante kwa leo katika historia ankali JJ
 
Pamoja shemela..
 
Asantee JJ kwa historia ...ila udhamini huo




Mradi wa kufuga vyuraa naona unashamiliiii
 
Asantee mkuu
 
Asante sana Jj
 
Asantee kamanda na mm leo nimejitoa ufahamu nione kinachoandikwaa na hili gazeti la kila siku ....na wewe pitiaa


 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…