Makapuku Forum

DID YOU KNOW ?
Trump anachezea karibu 2,000 threats kila mwezi mpaka secret service wameongeza ma-agents wa kufuatilia threats hasa zilizo credible. John Depp (mwigizaji wa sinema za Pirates of the Caribbean) juzi juzi hapa naye alimchimba mkwara Trump kuwa angekuwa na uwezo angemfanyizia. Mpaka sasa yumo katika observation na haruhusiwi kuwa karibu na Trump kwa namna yo yote ile.
 
TOP TEN
Leo nashusha vitu mapema maana nitakuwa maeneo korofi baadaye
Hebu tuwaangalie wanyama kumi wenye mambo ya kipumbavu au ambao ni wajinga wajinga au wana akili za kuzaliwa ila kwao ni mwendo wa kufanya mambo kipuuzipuuzi au hawataki tu kutumia akili zao
Karibuni
....
 
10/Starfish Bora hawa wameumbwa bila kupewa ubongo kabisa kichwani(hawana ubongo) hivyo tukiwaona wakifanya ujinga tusiwalaumu....
Hawa ni wanyama/samakiwajinga kupitiliza
Ila samtaimu wanajitambua na hawafanyi upuuzi unaofanywa na binadamu ambao tumejaaliwa maarifa kupitiliza ila ni vichaa watupu
.........
 
9/Dodo
Hawa hawajielewi kabisa....japokuwa hawamuogopi binadamu ila pia ni wajinga wajinga
Wakiwindwa hukamatwa kiurahisi....mtu anaweza kuwalengeshea bunduki lakini kwa ujinga walionao wanaitazama tu utafikiri wameoneshwa pili
Ni mabwege
.....
 
8/Mosquito
Usishangae mbu nao ni wajinga wakubwa japo wachache ni werevu
Unaweza kuwapa mbu 1000 kizembezembe tu....unamiua mmoja wengine wanaona kabisa ila akili zao wanazijua wenyewe ndo kwanza nao wanasogea
......
 
7/Sheep
Unafuga kondoo? Wapime werevu wao!!
Kondoo nao ni wapuuzipuuzi tu japokuwa wanejaaliwa akili
Pia ni wanyama wapole....kondoo wengi ni wajinga na wazembe ndiosababu wanauawa na wanyama wengine kizembezembe
.....
 
6/Pandas
Unawajua pandas? Mimi siwafahzmu sana hata jina lao kwa kiswahili cha TUKI silijui
Wana mabichwa makubwa lakini akili kiduchu
Wanapendelea kukaa kwenye mianzi(labda Ndo pombe/kilevi kinachowatoa ufahamu)
Hawa huweza hata kuua watoto wao wenyewe mara kwa mara
......
 
5/Dog
Mbwa ni miongoni mwa wanyama werevu zaidi duniani kiasi cha kuishi na mwanadamu na kuweza hata kufundishwa mambo wakaelewa
Ila wana ujinga/upiizi wao uliopitiliza....kwavile wanejaa mitaani wachunguze tu hawa vichaa
...
 
4/Turkey
Hawa bara mzinga nao wamo
Kipindi mvua ikiwa inanyesha ndo utawagundua kuwa hawsjielewi kabisa....watakunywa maji hata wakiwa wamesimama na kudondokewa na matone ya mvua,wanaweza kunyeshea na mvua maji yakajaa lakini hawaelewi(hawaachi kukaa hapo) hadi wanaweza kufa kwa kuzama,kujitupatupa....pia wanaweza tu kunywa maji bila kuacha hadi wafe
......
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…