Makapuku Forum

Mdau humu tupo/wapo wanaofahamiana kabisa

Hivyo humu ondoa shaka hakuna majikesume labda tu wanaokuja mara mojamoja
Kumbuka thread hii ilianza mwaka 2016
.......
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bitoz wewe!
Eti vikojo...
Nimemwambia sababu ana mashaka na jinsia za watu
Hajui kama wadada wa humu ni wadada/wamama kweli Hivyo hawana maigizo ya jinsia
Mtu tumechat hapa kwa miaka miwili kama mtu anaingiza/zuga si tungeshamjua
.....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…