BlessedHope
JF-Expert Member
- Jan 29, 2016
- 7,988
- 32,649
AsanteLeo katika historia itawajia hivi punde tu....
Ambayo basi leo hii tarehe 29/6/2017 italetwa kwenu nami Jimena Jimenes
Lakini kwanza tupate maneno kutoka kwa wadhamini wetu
Kinywaji asilia kutoka kule kaskazini..... Karibuni sana
[emoji134] [emoji134] [emoji134] [emoji134] malinziiii
HBD Ernesto PerezLeo katika historia
29/6/1946 Ernesto Perez Balladares ambae alikua ni Rais wa 33 wa Panama alizaliwa
Now Now & Now.Umenenaa ila si unajua at tme tunaishii kwa matumaini
Ameleta umeme au afanya mpango wa umeme wa wati hizi!??.
Alivyoandikwa hapa,kama vile Mo ni kocha..Hili gazeti banaa
Kumbe unajua weakness yangu eehMuuheeendiiiisamuuu
Hongera kuapishwa kuwa rais mama Isabel PeronLeo katika historia
29/6/1974 Mwanamama Isabel Peron anaapishwa kuwa Rais wa Argentina
Huyu ndio alikuwa Rais wa kwanza mwanamke nchini humo
Kwa kweli haifai kuongezea... Labda ajibu.Hapo mie sitii neno
HBD Ever Banega ValendaLeo katika historia
29/06/1988
Éver Banega mchezaji kiungo wa timu ya Valencia ambae pia alikua akiichezea timu ya taifa ya Argentina anazaliwa
Pamoja sana mme mweeAsante mme mweeeeh ...
Asantee kwa neno ....Now Now & Now.
Lowasa anashutumiwa nn nae tena!?!
Mama mchungaji... Mipaka au mikapa?.... Ha ha ha ha ha ha.Upendo bila mikapa ya kiimani...ndio upendo wa kweli
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji119] [emoji119]Donald Ngoma - YANGA
Msondo Ngoma - Simba
Haruna Niyonzima - YANGA
Haruna Lipumba - Simba
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Nani kanuna?????
Karibu mamiiAsante
Ni mpira tuu shemeji au....Mpira wa jana huo sakayo
Si ndio hapo ... Yani upuuzi mtupuAlivyoandikwa hapa,kama vile Mo ni kocha..
Safi kabisaHuku safi tu sijui wewe huko ulipo jichimbia