shululu
JF-Expert Member
- Jan 26, 2015
- 28,137
- 109,912
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Nina kiu mke mwee sanaa ndio mana kufika hapo kwa baba d na binamu nimeshindwa vumilia
[emoji134] [emoji134] [emoji134]Nina kiu mke mwee sanaa ndio mana kufika hapo kwa baba d na binamu nimeshindwa vumilia
Kwa picha tu hujamboPicha jamaan [emoji121]
Shemela wangu mie[emoji134] [emoji134] [emoji134]
Zipo Heineken tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]Naomba savanna mke mwee ya baridi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Baba D mwenyewe ananijuaKwa picha tu hujambo
Naombaaa shemela wangu shululu mutoto ya mbuziZipo Heineken tu [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji119] [emoji119] [emoji119] idi tatu leoSi kuna mutoto ya ngombe shemela wangu ni mutoto ya mbuzi shululuuuuuu
Hapo sio yeye[emoji3] [emoji3] [emoji3] ndo umembatiza na hlo jina au
Aisee, hata ukinawa huliHalafu ujue wewe ndo unanikosanisha na aunt yangu? Hivi unajua hilo. Sasa ona safari imekufa, mwenyewe nishavaa viatu. Yaani nimeulamba na bado naambiwa safari hakuna,
Niambie shemela wangu wa ukweliShemela wangu mie
Amen, Asante kwa neno la uzima mama mchungaji[emoji524] ISAYA 63
7.Nitasimulia fadhili za Mwenyezi- Mungu ;nitataja matendo yake yote yastahiliyo sifa,kwa sababu ya yote aliyotutendea ,wema wake mkuu aliowapa Waisraeli kwa huruma yake ,kadri ya wingi wa fadhili zake.
[emoji523] DAMU ya YESU IWAFUNIKE,MALAIKA WALINZI WAZINGIRE NYUMBA ZETU NA MAHALI TUNAPOLALA USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Nawe pia mkuuUsiku mwema wana makapuku
hahahhh imefanyaje eid 3 shemela[emoji119] [emoji119] [emoji119] idi tatu leo
Ameen Mama [emoji120][emoji524] ISAYA 63
7.Nitasimulia fadhili za Mwenyezi- Mungu ;nitataja matendo yake yote yastahiliyo sifa,kwa sababu ya yote aliyotutendea ,wema wake mkuu aliowapa Waisraeli kwa huruma yake ,kadri ya wingi wa fadhili zake.
[emoji523] DAMU ya YESU IWAFUNIKE,MALAIKA WALINZI WAZINGIRE NYUMBA ZETU NA MAHALI TUNAPOLALA USIKU MWEMA MBARIKIWE[emoji7] [emoji7]
Shemela ni mie ujue kabisa sijanywa chochoteHapo sio yeye