Makapuku Forum

Karibu
 
Hii ya leo imeendana na hali halisi ya maisha ya JF msimu huu
 
10/Bernard Cornfield Alizaliwa mwaka 1927
Alikuwa mfanyabiashara na mzee wa bima aliyewekeza Marekani...Alizaliwa nchini Uturuki na alipoingia Marekani akaanza kifanya kazi za kijamii Social Worker hapo ndo akatengeneza jina lake kama msela Rainyundo alivyoanza kwa kutengemarafik......i Ilikuwa ni miaka ya 1850
Alifanya utapeli mwingi ila anakumbukwa zaidi baada ya kufungwa kampuni nchini Canada iitwayo International Overseas Service(IOS) ila ofisi akaweka Geneva Uswis yaani amesajili kampuni huku halafu biashara anafanya kule halafu hapohapo anapiga mpunga pia huko Ufaransa kwa kampuni hiyohiyo moja ni km mkasa wa Richmond huku Bongo
Akapiga mkwanja mrefu kijanjajanja ila akadakwa 1973 na kutumikia miezi 11 jela huko Uswis ila akaachiwa huru baada ya kulipa USD 600,000 baadaye na kuishia kuishi maisha ya kawaida tu na mwisho wa Siku akafariki dunia 1995 nchini Uingereza kwa kiharusi
.......
 
The real definition ya tapeli ndio hii... Huyu nae alikuwa mwanaume wa nguvu maana sio kwa assist hii
 
I see
 
Aisee
 
9/Robert Hendy--Freegard Ni muingereza aliyezaliwa mwaka 1971
Huyu jamaa aliwapiga Waingereza wengi assist kwa kujifanya ni jasusi wa M15 Scotland Yard yaani tuseme sawa na mbongo ajifanye ni Mwanausalama wa Taifa
Jamaa alikuwa anafanya biashara ya kuuza magari na kutumia mwanga huo kukutana na wateja kisha kuwa tapeli kwa kujifanya ni mtu wa M15 Scotland Yard
Hakuishia hapo tu alitafuta hadi demu wa kujifanya mkewe na kupiga pesa kimagumashi
Alinaswa mwaka 2002 baada ya Scotland Yard kushirikiana na FBI kumsaka na kumtia mbaroni na kuwa maarufu ghafla kama Rainyundo
......
 
Ama kweli wajinga ndio waliwao
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…