Nimeyaona mkuu ila nadhani still kuna room kwa yeyote mwenye wazo lingine lolote kulileta hapa likaongezwa kwenye list..Then yaanzwe kuchambuliwa tuone tunaelekea wapi....Nikupongeze pia kwa kuweka kumbukumbu hizi za muhimu sana...Mkuu hayo hapo mapendekezo yenu
Paroko yameshapitaJANA LILITOKA WAZO KWA BAADHI YA MAKAPUKU KTK KUTAKA KUENDELEZA UMOJA WAO NJE YA JF, NA YAFUATAYO NI MAPENDEKEZO YAO;
Manuu...alipendekeza kuwa na SACCOS.
Bitoz...tutengeneze kikundi chenye malengo tuombe mkopo bank.
Youngblood...tuunde kikundi tulime karafuu.
Ameizing...tuunde kikundi na tuanze mradi/miradi yamuda mfupi na wa kati, mfano kulima matikiti, kufuga kuku wa nyama. Mradi wa muda wa kati ni misitu ya mbao na poles (mirunda, na nguzo)
Haya ndiyo mawazo ya baadhi ya makapuku
Uko sahihi manuu, nimeyaleta ili kuwapa wengine nafasi ya kuongezea au kuboresha zaidiNimeyaona mkuu ila nadhani still kuna room kwa yeyote mwenye wazo lingine lolote kulileta hapa likaongezwa kwenye list..Then yaanzwe kuchambuliwa tuone tunaelekea wapi....Nikupongeze pia kwa kuweka kumbukumbu hizi za muhimu sana...
Ahaaa kumbe ilikuwa utani tu!Paroko yameshapita
Leo ni Leo,Jana ni Jana
..............
Ukiona mwitikio wao?Ahaaa kumbe ilikuwa itani tu!
Hata hivyo wapo wamekuja pm wana utayari iwapo kuna nia na mipango madhubutiUkiona mwitikio wao?
La msingi mtu unaleta mada ikipotezewa unachukulia poa...watu wanaoikubali watakutafuta hata PM
Huwezi kuwalazimisha watu lazima
..............
Mawazo mazuri sana.JANA LILITOKA WAZO KWA BAADHI YA MAKAPUKU KTK KUTAKA KUENDELEZA UMOJA WAO NJE YA JF, NA YAFUATAYO NI MAPENDEKEZO YAO;
Manuu...alipendekeza kuwa na SACCOS.
Bitoz...tutengeneze kikundi chenye malengo tuombe mkopo bank.
Youngblood...tuunde kikundi tulime karafuu.
Ameizing...tuunde kikundi na tuanze mradi/miradi yamuda mfupi na wa kati, mfano kulima matikiti, kufuga kuku wa nyama. Mradi wa muda wa kati ni misitu ya mbao na poles (mirunda, na nguzo)
Haya ndiyo mawazo ya baadhi ya makapuku
Kwann boss mbona mawazo mazuri sana.Paroko yameshapita
Leo ni Leo,Jana ni Jana
Tuendeleo issue zingine....halazimishwi mtu kujadili kitu fulani km hakipendi
..............
Mkuu ushapata mke???? HumuWazumu humu ndani?
Niajer mkuuuMornie Sheme
Hi....Wozap
Mkuu Bado sijapataMkuu ushapata mke???? Humu
Shwari BablaiNiajer mkuuu
Wazap JohWozap