Makapuku Forum

Wakuu nimependaa throw back japo kipindi kile nilikuwa napaogopa kapuku kinomaaaaa....id yangu ya mwanzo ila nilikuwa siitendei haki
Hahaha, wengi walipuuza sana na wengine walituona tu wagomvi na wakorofi, hii ilitokana na watu walikuwa wanaingia humu na kutukejeli so tulikuwa tunawa attack kwa umoja wetu
hadi wengine walituogopa sana tukiwa kwenye majukwaa mengine
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…