Makapuku Forum

Hapo sawa nilidhani kaondoka kabisa. Sasa watakuwa wameziunganisha
Hapana wengine "huharibu mambo" mfano mapenzi n.k hivyo hubadili ID au kuja na fekelo ili kukwepa wabaya wao
Wengine huwa tu "wamechokana" na pengine hataki kuonekana sehemu tu

Binafsi huwa naheshimu maamuzi binafsi ya mtu na sijawafuatilii watu....kama mtu haonekani hapa basi nikimkuta mwingine huwa nachangia mada na simuulizi chochote wala kumfuata PM
.....
 
Mi pia huwa naona it's okay tu mtu akibadili id ila kwa kesi ya Cobblepots naona ID zote zitaunganiswa na kuwa moja sababu ndio utaratibu.
 
Humu ndani Jambilo ndo Alikuwa mgomvi wangu # 1 jamaa mwanzo nilikuwa simwelrwi kabisa ila baadaye tukaanza kuelewana


Tatizo ni watu kuishi kwa maigizo na kujifichaficha kama panya ila yupo/wapo baadhi wanafahamiana
Mimi kabla ya kuanza kuwa na urafiki na mtu huwa nausoma mwandiko wake kwa umakini kupitia post zake hapa na thread mbalimbali na hapo napata mwanga ni mtu wa aina gani....nikinusa harufu ya majangamajanga "nampotezea"
........
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…