Shunie
JF-Expert Member
- Aug 14, 2016
- 157,076
- 463,977
Mbona sikuoni kuleIlikuwa mmu sasa hivi uzi umepelekwa jukwaa la malalamiko
Aisee mie nilibaki na mods na wale watu wa likes![]()
![]()
na mie jana niliingia bada ya kucomment ndio nilitoka
Msg zako ndio zimeingia sasa hivi mbili ujue tigo inasumbua sana leoWakati naquote nilikuwa nasema leo nawakomeshaaa
Keshakimbia![]()
uniite akirusha
HahahaMsg zako ndio zimeingia sasa hivi mbili ujue tigo inasumbua sana leo
Kweli umetukomesha hongera
Tigo jamaan simu sijazima kabisaHahaha
Asante.... Nilipiga mara tano sijui hapatikani
nimecheka sanaMmmmh![]()
![]()
kama kawaida yake
HahahaTigo jamaan simu sijazima kabisa
Kweli umbea hauna posho si kwa msg hizi![]()
![]()
nimecheka sana
Ebu twende tukaweke kambi kule kabisaHahaha
Mie naenda kwenye dude kule
Sijuii watu wako wapi bhana, uzi ule hautembei ka asubuhiEbu twende tukaweke kambi kule kabisa
Tatizo sehemu uliyowekwa ujue kule mafichoni nani anapapendaSijuii watu wako wapi bhana, uzi ule hautembei ka asubuhi
Mm ni TumosaHapana, kwani wewe ni polisi?
Mods wanaudhi ka niniTatizo sehemu uliyowekwa ujue kule mafichoni nani anapapenda
Kuutoa Mmu sehemu husika kupeleka kwenye malalamikoMods wanaudhi ka nini
Nakupenda pia mke mweeeMke mwee ujue nakupenda mule mule tu unapita
Ngoja Tusubirie mshtakiwaKuutoa Mmu sehemu husika kupeleka kwenye malalamiko