Makapuku Forum

2007 - Amina Chifupa anafariki Dunia.

Mtangazaji na Mbunge wa zamani.

Alikuwa ni mmoja wa mastaa maarufu miaka ya mwanzoni mwa 2000.
Alikuwa na umri wa miaka 26 tu
Mengi yamesemwa kuhusu kifo chake ila kwangu naamini ni cha kawaida tu kama wana damu wengine Alikuwa ni mke wa mfanyabiashara Mohamed Mpakanjia{marehemu) na kujaaliwa mtoto mmoja
....
 
Aliamua kujiua.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…